
Thomas Lubanga Dyilo anahukumiwa kwa ajili ya makosa ya ku andikisha na ku ingiza ndani ya jeshi watoto wa umri ya miaka chini ya 15, tena nakuwatuma wapigane vita..( tarehe 14 mwezi wa 3 mwaka 2012) Leo, tarehe 14 mwezi wa 3 mwaka 2012, wa jaji wa chumba cha kwanza cha mashtaka ya mahakama ya kimataifa ya jinai (CPI), jaji Adrian Fulford --jaji mkuu-jaji Elisabeth Odio benito na jaji René Blatmann, kwa kauli moja, wali uhukumu Thomas Lubanga Dyilo, kama vile mmoja ya watenda makosa, kwa ajili ya makosa ya ku andikisha na ku ingiza ndani ya jeshi watoto wa umri ya miaka chini ya 15, tena nakuwatuma wapigane vita. Hukumu hiyo ni ya kwanza inayo tolewa na chumba cha kwanza cha kesi cha CPI. Makosa ya kivita hayo -kuandikisha na ku ingiza ndani ya jeshi watoto wa umri ya miaka chini ya 15, nakuwatuma wapigane vita, Yali tendera wakati w avita ya ndani ya muji wa ituri, mu jamuhuri ya kidemocrasia ya Congo kati ya wa jeshi wa FPLC (force patriotique de la Liberation du Congo) iliyo ongozwa na Bwana Thomas Lubanga, ikipigana na kundi la "Armée populaire du Congo", pia na makundi mbalimbali kama vile "Front de Résistance Patriotique en Ituri" (FRPI). Thomas Lubanga alikuwa presidenti wa kundi la UPC, aki ongoza siasa, piya alikuwa kamanda mkuu wa kundi lake la kijeshi, FPLC. Thomas Lubanga Dyilo; mwana inchi wa jamuhuri ya kidemocratisa ya Congo alipelekwa kwene La Haye mu tarehe 17 mwezi wa tatu mwaka 2006, ku fuatana na barua la kifungo lililo tolewa na chumba cha utangulizi <b>...</b>
'ICCCPI'
'sheria'
'Thomas Lubanga Dyilo'
'makosa ya kivita'
'uamuzi wa kwanza'
'makataba wa Roma'
'mwendesha mashataka'
'mtetezi'
'wateswa'
'malipo ya haki'